Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hi!
Hapa Dar kazi nzuri sekta binafsi, NGO's, serikalini zipo za kutosha ila kama huna Connection utaishia kushobokea kazi za kutembeza vyombo vya promotions zinazotangazwa kwenye nguzo za umeme. Wanalipamba tangazo vizuri ukienda ofisini kwao unakutana na mabeseni.
Fursa za scholarship nchi za Magharibi zipo ila kama huna connection huzisikii.
Hapa Dar kama huna connection nyama pori utaisikia redioni tu. Leo nimelifumania chimbo kitimoto pori kilo sh. 6000 sehemu ambayo nilikuwa naipita kila siku.
Tuishi na watu vizuri watupe connection.
Niliwahi kupata kazi The Aghakan Foundation mikoa ya kusini kupitia connection kimasihara kabisa.