Kila kitu kilichopo mbele yako ni chaguo : Uchaguzi ni wako.

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
5,628
Reaction score
6,411
Kila jambo katika maisha ya mtu kwa kujua au kutokujua hupata nafasi katika maisha ya mtu kutokana na uchaguzi wa mtu huyo.
Maisha yako ni jumla ya matokeo ya uchaguzi wako.

Linda sana nguvu yako ya kufanya uchaguzi, hayupo anayependa uchague unachotaka.
Taratibu tu mada itaeleweka.
 
Linda sana nguvu yako ya kufanya uchaguzi, hayupo anayependa uchague unachotaka.
Taratibu tu mada itaeleweka.πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’ͺπŸΏπŸ™πŸΏ
 
Tatizo wakati mwingine siyo kilichochaguliwa ila anayechagua "protect your power to make choices"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…