Yaani chumvi za siku hizi hazikolei kiasi ukinunua pakti inaisha week tuu..zamani wakati nakuwa chumvi ilikuwa inanunuliwa kwa nadra sana sababu ilikuwa haiishi.. halafu hazina madini joto
Sukari nayo haikolei kwenye chai wala uji, kiasi inabidi itumike nyingii
Sabuni ndo usiseme, kipande unafua siku moja tu kimeisha...Kila kitu kimebadilika sio kama enzi za ujana wangu
Kila kitu kimekuwa fake hadi viberiti