Kila kitu kimekuwa fake: Chumvi, sukari, sabuni, viberiti

Yaani chumvi za siku hizi hazikolei kiasi ukinunua pakti inaisha week tuu..zamani wakati nakuwa chumvi ilikuwa inanunuliwa kwa nadra sana sababu ilikuwa haiishi.. halafu hazina madini joto

Sukari nayo haikolei kwenye chai wala uji, kiasi inabidi itumike nyingii
Sabuni ndo usiseme, kipande unafua siku moja tu kimeisha...Kila kitu kimebadilika sio kama enzi za ujana wangu

Kila kitu kimekuwa fake hadi viberiti
KIpokea chumvi chako cha mdomoni nacho kimekua na kuongezeka so unahitaji chumvi nyingi pia mkuu😀
 
Barabara za lami ndo wanachakachua sana.
 
Njoo ss Kwenye nondo na vyuma vya kuchumeaa n balaaa kbs.
 
KIpokea chumvi chako cha mdomoni nacho kimekua na kuongezeka so unahitaji chumvi nyingi pia mkuu😀
Chumvi hazina madini joto, sijui TBS hawaoni Hilo...Kuna Mchele ukila midomo inakuwa mikavu na unapaukaaa, unakuwa mkavu..Yani vitu vimekuwa hatari hatari
 
Yaani chumvi za siku hizi hazikolei kiasi ukinunua pakti inaisha week tuu..zamani wakati nakuwa chumvi ilikuwa inanunuliwa kwa nadra sana sababu ilikuwa haiishi.. halafu hazina madini joto

Sukari nayo haikolei kwenye chai wala uji, kiasi inabidi itumike nyingii
Sabuni ndo usiseme, kipande unafua siku moja tu kimeisha...Kila kitu kimebadilika sio kama enzi za ujana wangu

Kila kitu kimekuwa fake hadi viberiti
Ukiwa na serikali feki kila kitu kinakuwa feki. Elimu feki, Afya feki, bidhaa feki, barabara feki, kodi na tozo feki....
 
Chumvi hazina madini joto, sijui TBS hawaoni Hilo...Kuna Mchele ukila midomo inakuwa mikavu na unapaukaaa, unakuwa mkavu..Yani vitu vimekuwa hatari hatari
Chumvi yenye madini joto unaijuaje mkuu ?
 
Njiti za viberiti mpaka uwashe ya nne, ya tano ndio ikubali
Hii ilinikuta juzi kati, nataka niwashe Embassy langu, kila nikiwasha kama njiti 15 na kiberiti kikaisha!! Aisee hii ni kweli kabisa.
 
Nilidhani mimi tu. Hadi sometimes naamua kukemea pepo la uharibifu wa mali. Unawasha njiti haziwaki.

Sijui wamechakachua pale kwenye ile karatasi ya kusababisha njiti iwake??
hivi kiwanda cha kibo match kilienda wapi? hivi kweli tuagize viberiti vya njiti china? are we mud?
 
Yaani chumvi za siku hizi hazikolei kiasi ukinunua pakti inaisha week tuu..zamani wakati nakuwa chumvi ilikuwa inanunuliwa kwa nadra sana sababu ilikuwa haiishi.. halafu hazina madini joto

Sukari nayo haikolei kwenye chai wala uji, kiasi inabidi itumike nyingii
Sabuni ndo usiseme, kipande unafua siku moja tu kimeisha...Kila kitu kimebadilika sio kama enzi za ujana wangu

Kila kitu kimekuwa fake hadi viberiti
Achana na hivyo vitu viongozi wenyewe hasa wa ccm ni fake.
 
Yaani chumvi za siku hizi hazikolei kiasi ukinunua pakti inaisha week tuu..zamani wakati nakuwa chumvi ilikuwa inanunuliwa kwa nadra sana sababu ilikuwa haiishi.. halafu hazina madini joto

Sukari nayo haikolei kwenye chai wala uji, kiasi inabidi itumike nyingii
Sabuni ndo usiseme, kipande unafua siku moja tu kimeisha...Kila kitu kimebadilika sio kama enzi za ujana wangu

Kila kitu kimekuwa fake hadi viberiti

Sio bidhaa tu, hadi watu wengi feki sana
 
Jaribu Sumu na pilipili kama zipo feki njoo jazia uzi mkuu
 
Back
Top Bottom