Ulikuwa haununui mwenyewe ndio sababu.Yaani chumvi za siku hizi hazikolei kiasi ukinunua pakti inaisha week tuu..zamani wakati nakuwa chumvi ilikuwa inanunuliwa kwa nadra sana sababu ilikuwa haiishi.. halafu hazina madini joto
Sukari nayo haikolei kwenye chai wala uji, kiasi inabidi itumike nyingii
Sabuni ndo usiseme, kipande unafua siku moja tu kimeisha...Kila kitu kimebadilika sio kama enzi za ujana wangu
Kila kitu kimekuwa fake hadi viberiti
Nilidhani mimi tu. Hadi sometimes naamua kukemea pepo la uharibifu wa mali. Unawasha njiti haziwaki.Njiti za viberiti mpaka uwashe ya nne, ya tano ndio ikubali
Kweli kabisaa, halafu kinazima chaapNjiti za viberiti mpaka uwashe ya nne, ya tano ndio ikubali
Hata sumu za bongo za siku hizi nasikia ni fake, haziui.Yaani chumvi za siku hizi hazikolei kiasi ukinunua pakti inaisha week tuu..zamani wakati nakuwa chumvi ilikuwa inanunuliwa kwa nadra sana sababu ilikuwa haiishi.. halafu hazina madini joto
Sukari nayo haikolei kwenye chai wala uji, kiasi inabidi itumike nyingii
Sabuni ndo usiseme, kipande unafua siku moja tu kimeisha...Kila kitu kimebadilika sio kama enzi za ujana wangu
Kila kitu kimekuwa fake hadi viberiti
Yani hawana aibu wala haya..ndo ubepari huuZamani Tambi zilikua 487 kwenye kimfuko, siku hizi wanaweka 350 bila haya
Saruji, mabati na nondo ndiyo usiseme kabisaaaaYaani chumvi za siku hizi hazikolei kiasi ukinunua pakti inaisha week tuu..zamani wakati nakuwa chumvi ilikuwa inanunuliwa kwa nadra sana sababu ilikuwa haiishi.. halafu hazina madini joto
Sukari nayo haikolei kwenye chai wala uji, kiasi inabidi itumike nyingii
Sabuni ndo usiseme, kipande unafua siku moja tu kimeisha...Kila kitu kimebadilika sio kama enzi za ujana wangu
Kila kitu kimekuwa fake hadi viberiti
Yaani mi Kila siku nakemea pepo la chuma ulete , lkn nimegundua vitu vimepingua ubora kabisaNilidhani mimi tu. Hadi sometimes naamua kukemea pepo la uharibifu wa mali. Unawasha njiti haziwaki.
Sijui wamechakachua pale kwenye ile karatasi ya kusababisha njiti iwake??
I second you mkuuBidhaa za Kenya ndio zenye ubora, hizi za hapa nchini ni uchafu mtupu.
Zipime uzito kwenye mzani.Zamani Tambi zilikua 487 kwenye kimfuko, siku hizi wanaweka 350 bila haya
Hadi mchangaSaruji, mabati na nondo ndiyo usiseme kabisaaaa