Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mbuzi wanakula kwa kamba za mipiraKukatika umeme imekuwa janga la kitaifa. Na hapa ndipo amefeli kabisa.
Kudhibiti nidhamu ya watumishi na ubadhirifu ndio amekwama kabisa.
Kila anapopita Kassimu ni zaidi ya madudu na hii ni Sampuli tu ya uozo.
Nchi imefikia pabaya sana tofauti na alipokuwepo mtangulizi wake
Kukatika umeme imekuwa janga la kitaifa. Na hapa ndipo amefeli kabisa.
Kudhibiti nidhamu ya watumishi na ubadhirifu ndio amekwama kabisa.
Kila anapopita Kassimu ni zaidi ya madudu na hii ni Sampuli tu ya uozo.
Nchi imefikia pabaya sana tofauti na alipokuwepo mtangulizi wake
NonsenseWatumishi wachache wasio waaminifu ndio ugeneralize nchi imefikia pabaya kweli? Hivi unajua maana ya nchi kufikia pabaya, hata wewe saa hz usingeandika huu uzi, ungekuta uko unakimbia hujui hata baba au mama au ndugu zako wako wapi, ebu ukiandika fikiria mara mbili mbili, alafu pumbaf wewe
Nonsense
NonsenseYou are such a nyoko
Haa bi mashunga wale mafala wanoimita mama maama pumbufau waje hukuKukatika umeme imekuwa janga la kitaifa. Na hapa ndipo amefeli kabisa.
Kudhibiti nidhamu ya watumishi na ubadhirifu ndio amekwama kabisa.
Kila anapopita Kassimu ni zaidi ya madudu na hii ni Sampuli tu ya uozo.
Nchi imefikia pabaya sana tofauti na alipokuwepo mtangulizi wake
Majaliwa apewe maua yake kwa utendaji uliotukuka!Kukatika umeme imekuwa janga la kitaifa. Na hapa ndipo amefeli kabisa.
Kudhibiti nidhamu ya watumishi na ubadhirifu ndio amekwama kabisa.
Kila anapopita Kassimu ni zaidi ya madudu na hii ni Sampuli tu ya uozo.
Nchi imefikia pabaya sana tofauti na alipokuwepo mtangulizi wake
Zitaliwa na fisi soon! 😆mbuzi zimekata kamba
Nchi imepoteza dira kabisa