thread zingine unaona kabisa ni za kupeleka chitchat...ila unazikuta hapa mmu
wala huko chit chat hazifai kabisa...ni za kufutwa tuu...watu wanadhani hapa ni pa kupost chochote unachojisikia kana kwamba upo facebook....unaweza kuta mtu kwa siku anapost thread tano tofauti na zote anajivika uhusika! kana kwamba ni yeye...
Halafu mtu akishapost mambo ya hovyo hovyo ndio unakuta watu wanachakachua tu maana hakuna cha kuchangia apo
wala huko chit chat hazifai
kabisa...ni za kufutwa tuu...watu wanadhani hapa ni pa kupost chochote
unachojisikia kana kwamba upo facebook....unaweza kuta mtu kwa siku
anapost thread tano tofauti na zote anajivika uhusika! kana kwamba ni
yeye...
Halafu mtu akishapost mambo ya hovyo hovyo ndio unakuta watu
wanachakachua tu maana hakuna cha kuchangia apo
Watu bwana !!
fata mambo yako unacomplicate maisha ka mwizi post post post watakupost
...Acha magugu na ngano vikue pamoja. Hakika hakuna unaloweza kufanya vile hii Ni jamii, yenye watu wa uelewa tofauti. Japo slogan ni "home of great thinkers", usitegemee kila anayetoa maoni Ni great thinker katika level unayoitaka. Pia, hiki kimekuwa kijiwe cha kutolea stress kwa walio wengi, mizaha na utani havotoisha..
Ilikuwa JF ya enzi ya mwalimu siyo JF ya sasa umechelewa broHi jf!
Mm hua nafatilia sana comments za humu jf, kuna watu (great thinkers) wanapost vitu vyenye mashiko na vya kuelemisha na kukosoa mtu mmoja mmoja or society at large, eg. Kuna post nmeona jana inayohusu misiba inavyofanyika ktk tamaduni mbalimbali" na nyingine nyingi.
Lakn kuna wengine kila kitu wanapost hata mambo ambayo siyo public, jamani as agreat thinker mambo madogo madogo inabidi unayasolve individually.
Mfano; vipost kama hivi , "Nimeachana na yule baba nmempata mkurya ila nampenda, je yeye ananipenda? Hapo jf watajibu nini jamani, "nmemtongoza demu amekubali je nmgegede?"hapa utajibiwa nini sasa (vry nonsense)
Na nyingine nyingi ambazo hazina maana, is t the home of great thinkers? Wengi wa humu wana low capacity of thinkng na hawana ule uwezo wa problem solving
NB: all great thinkers are highly needed here, tulijadili hili may be people may change.
Nmesema only great thinkers are needed, nawe umetokea wapi?? IQ = mental age/normal age *100%, ukicalculate utakuta uko below 25%, basing on mental blotter or turbulalaser
Hata yako inakera maana haina mashiko
Watu ka ninyi ujuaji mwingii alafu hamna kitu..sijui ni ushamba ama nini..?na wewe kila kitu unasoma!!.inakera