Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
thread zingine unaona kabisa ni za kupeleka chitchat...ila unazikuta hapa mmu
wala huko chit chat hazifai kabisa...ni za kufutwa tuu...watu wanadhani hapa ni pa kupost chochote unachojisikia kana kwamba upo facebook....unaweza kuta mtu kwa siku anapost thread tano tofauti na zote anajivika uhusika! kana kwamba ni yeye...
Halafu mtu akishapost mambo ya hovyo hovyo ndio unakuta watu wanachakachua tu maana hakuna cha kuchangia apo