Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!š¤£š¤£š¤£Naona Kila jambo ni lazima liitwe Samia. Hivi Serikali inafanya kazi gani kama kila kitu kinafanywa na Samia Hassan Suluhu!?
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!