Kila kitu ni Samia Samia Samia. Serikali Iko wapi?

Naona Kila jambo ni lazima liitwe Samia. Hivi Serikali inafanya kazi gani kama kila kitu kinafanywa na Samia Hassan Suluhu!?

Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…