Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Dah leo nimekumbuka hii comment niliisoma 3 years ago na nikawa lofa nikaweka $5000 kununua bitcoin basi leo nimeisoma tena najikuta nacheka tu kuna mipumbav ilitaka tuamini ujinga wao pesa itupite kushoto hahahahahahahahahahaha
Kila kitu kina muda wake mkuu.
 
Ndio. Unachagua unayoweza deposit na % ya profit inaonekana pale kwenye chaguo lako kama ni 40% au lah ya kile unacho deposit.
Very risky bro,hapo utaweka utapanda tamaa ndo imeisha hivyo
 
Bitcoin inafanyaje kazi,?
Na ni nzuri kutumia?
Na kama ni nzuri kutumia,!
Nitaipataje ili niitumie wadau wangu wa nguvu
 
Bado unamsimamo huu mpaka sasa au umebadili mawazo?. Bitcoin keeps on going higher & higher. It is here to stay!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…