Kila kitu Zanzibar now. Mchezo wa Ligi ya Tanzania bara Azam vs Simba kuchezwa huko

chipa GM

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
1,815
Reaction score
2,973
Ligi ya Tanzania bara
Azam vs Simba
Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka.
Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe.

Je haya yanayotekea kulikoni? How come Zanzibar wana ligi yao afu ligi ya Bara ichezwe kwao.

Hayo ya Michezo.
Mengine balaa.

Kwa sasa Zanzibar ndiyo Tanzania..Tanganyika imekufa.

Watu million 1 wanaongoza million 60.
 
Kuna ujinga mwingi nchi hii, kila mtu ni chawa hadi kwenye michezo.

Juzi kwenye mechi ya Yanga na CBE mchehereshaji wa mchezo anakwambia karume ni mwanzilishi wa hichi kilabu 🥺🥺🥺.

Leo tunautukuza Uzanzibari kuliko Utanganyika na kuliko Utanzania.

Tumefikia hatua Sasa Mzanzibari ni raia namba moja na mwenye daraja la juu ndio wanafata wengineo.

Tunako elekea ni kubaya zaidi
 
Uzi wa kijinga kabisa huu. Au ndio hasira za maandamano kudhibitiwa? Relax kijana. Ukipenda, ukichukia, ukifurahi, ukilia, ukitukana, ukinyamaza, Samia kwa sasa ndiye Raisi wa nchi hii. Acha wivu wa kike.
 
Kuna ujinga mwingi nchi hii, kila mtu ni chawa hadi kwenye michezo.

Juzi kwenye mechi ya Yanga na CBE mchehereshaji wa mchezo anakwambia karume ni mwanzilishi wa hichi kilabu 🥺🥺🥺.

Leo tunautukuza Uzanzibari kuliko Utanganyika na kuliko Utanzania.

Tumefikia hatua Sasa Mzanzibari ni raia namba moja na mwenye daraja la juu ndio wanafata wengineo.

Tunako elekea ni kubaya zaidi
Huyu mama apigwe chini 2025
 
Ule uwanja ni mzuri pia Zanzibar kuna mashabiki wengi wa simba na yanga hv ukitaka kwa ukubwa wa hyo mechi waipeleke kwenye yale majaluba ya kule mwanza? Waambie CCM waachie vile viwanja vilijengwa na ujamaa kwahyo nivya wanaanchi sio mali yao.
 
Back
Top Bottom