Kila kitu Zanzibar now. Mchezo wa Ligi ya Tanzania bara Azam vs Simba kuchezwa huko

Kesho beba Bango lililoanzikwa kwanini kila kitu ni zanzibar uende nalo pale ubungo utapata jibu sahihi
 
Ligi ya Tanzania bara
Azam vs Simba
Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka.
Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe.

Je haya yanayotekea kulikoni? How come Zanzibar wana ligi yao afu ligi ya Bara ichezwe kwao.

Hayo ya Michezo.
Mengine balaa.

Kwa sasa Zanzibar ndiyo Tanzania..Tanganyika imekufa.

Watu million 1 wanaongoza million 60.
Unaumia ukiwa wapi ndugu?
 
Kila la heri AZAM dhidi ya Simba katika mchezo wenu kesho huko Zanzibar.
 
Ligi ya Tanzania bara
Azam vs Simba
Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka.
Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe.

Je haya yanayotekea kulikoni? How come Zanzibar wana ligi yao afu ligi ya Bara ichezwe kwao.

Hayo ya Michezo.
Mengine balaa.

Kwa sasa Zanzibar ndiyo Tanzania..Tanganyika imekufa.

Watu million 1 wanaongoza million 60.
Unatoa povu ukiwa wapi mkuu
 
Back
Top Bottom