Mashangazi weekend ZanzibarZanzibar ni Tanganyika mpya
Ujinga ni mzigo unatakiwa kuuweka Chini. Tanzania ni nchi ya Muungano na ni Jamuhuri. Ipende nchi yako na watu wake kutoka Kila eneo la nchi yako..... wanaongoza million 60.
liokaa kimala malaya, wa Chao Chao chetu ni cha wote?Ujinga ni mzigo unatakiwa kuuweka Chini. Tanzania ni nchi ya Muungano na ni Jamuhuri. Ipende nchi yako na watu wake kutoka Kila eneo la nchi yako.
Yawezekana hukujua kama Tanzania ni nchi ya Muungano.
Uzi wa kijinga kabisa huu. Au ndio hasira za maandamano kudhibitiwa? Relax kijana. Ukipenda, ukichukia, ukifurahi, ukilia, ukitukana, ukinyamaza, Samia kwa sasa ndiye Raisi wa nchi hii. Acha wivu wa kike.Ligi ya Tanzania bara
Azam vs Simba
Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka.
Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe.
Je haya yanayotekea kulikoni? How come Zanzibar wana ligi yao afu ligi ya Bara ichezwe kwao.
Hayo ya Michezo.
Mengine balaa.
Kwa sasa Zanzibar ndiyo Tanzania..Tanganyika imekufa.
Watu million 1 wanaongoza million 60.
Huyu mama apigwe chini 2025Kuna ujinga mwingi nchi hii, kila mtu ni chawa hadi kwenye michezo.
Juzi kwenye mechi ya Yanga na CBE mchehereshaji wa mchezo anakwambia karume ni mwanzilishi wa hichi kilabu 🥺🥺🥺.
Leo tunautukuza Uzanzibari kuliko Utanganyika na kuliko Utanzania.
Tumefikia hatua Sasa Mzanzibari ni raia namba moja na mwenye daraja la juu ndio wanafata wengineo.
Tunako elekea ni kubaya zaidi
Hii ya zenji imezidi sasaMmesahau ya Chato?? Kila kitu kulikuwa kinspelekwa Chato, but now ni zamu ya Zanzibar
Bado Zenji haifui dafu kwa Chato mazeeHii ya zenji imezidi sasa