sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 518
- 181
Utawala wa mama samia umeonekana kuwa na niya nzuri lakini kuna mambo mengi inaonesha imedhamiria kunyanyasa watu.Manyanyaso ni kama yafuatayo;
1.Demokrasia ya watu kuandamana inaminywa kisa tuh haitaki kuona watu wakidai haki zao.
2.Serikali imekuja na mifumo mbalimbali kama pepmis na mengine . Ukichunguza lengo ni kubana matumizi na kunyanyasa watu .
3.kingine hiki kibaya sana kuna watumishi walipata nyongeza ya mshahara lakini baadae nyongeza mwezi huu imetolewa. Haya yote ni mwenendo wa serikali kuto thamini maisha ya watumishi na kutumia ubabe kufanya chochote wanachokitaka. Kama nchi haina hela waseme na sio waje na mifumo ya ajabu kufanikisha malengo yao.
4.wanaostaafu ukitoa jeshi wanapata kiunia mgongo kidogo sana. serikali ilipunguza kutoka asilimia 50 mpaka 35 lengo tuh ikiwa kubana haki za watu. kwa kweli hili haliko sawa na ni unyanyasaji wa serikali kwa watumishi.
5. Viongozi kutoa vitisho. Hivi kweli unapata ujasiri gani kusema ukisikia kifo cha mama au mtoto kikitokea unachukua hatua kali sana. Kabla ya kuchukua hatua kali fikiria mara 2 huyo mtu ana familia. Kabla ya kuchukua hatua fikiria jeh ingenitokea mimi ningejisikiaje. Tuache kunyanyasa watu kwa vitisho tukumbuke binadamu wote tunakasoro. Unaweza kuta hata yeye mwenyewe afai kukaa kwenye nafasi aliyonao na huenda akawa anatumia vitisho kuficha weakness zake.
6.Tunakoelekea tutakuja kunyanyaswa hadi uhai wetu kama ilivyotokea utekaji na mauaji.
Wananchi kukaa kimya ni dhahiri hata wananchi wenyewe wanahusika kunyanyasa watu.