Kila la Heri Ivona Kamuntu

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Namjua kwa kiasi kidogo sana huyu binti lkn niwe muwazi kwamba ninaiona nyota ya Mtangazaji huyu wa Star TV iking'aa kwani anaonesha ana kipaji cha pekee, KILA HERI IVONA
 

amesheheni uchambuzi wa hali ya juu na anaonekana kuwa na weledi wa mambo
 
Namjua kwa kiasi kidogo sana huyu binti lkn niwe muwazi kwamba ninaiona nyota ya Mtangazaji huyu wa Star TV iking'aa kwani anaonesha ana kipaji cha pekee, KILA HERI IVONA
Fafanunua kivipi
 
Ana pozi za kitoto halafu anajiona kama keshakuwa staa. Mbaya zaidi anapenda kujiweka humu kupitia ID hizo za kina amavubi kupima watu wanamchukuliaje. Ukweli ni kwamba kwa mbwembwe hizo huwezi fika popote.waliofika mbali hawakutumia njia za kitoto kama hizo. Usidanganywe na watu kama unataka kufika mbali kwenye hiyo taaluma piga mzigo usidanganywe wewe kwa sasa ni wa kawwaida sana japo unaweza fika mbali ukiacha mbwembwe na mashauzi ya kubinuabinua midomo as if unamtangazia mumeo tu hapo kwenye tv..
 

Hii maneno ni ya ukweli kabisa.mie pia namuona ana mashauzi sana.kifupi sioni weledi wowote alionao zaidi ya kujishebedua akiwa anatangaza.
 
naona ivona mwenyewe kaamua kuja na thread ya kujinadi,ni vizuri maana bosi wako nae huwa anapitapita humu
 
Hahahahhaha Jamani mbavu zangu miye ! Watu hawadanganyiki hata hivyo ukisubiri kusifiwa utasubiri sana ....acheni atumie Fursa Mkamtangazeee 🙄
 
Mtoa uzi hapa umechemsha nikajua labda na yeye kapata shavu la kwenda kufanya kazi VOA, BBC, DW etc kama kina regina mwalekwa au mayb kawa nominated kwenye tuzo flani za undishi wa habari kumbe holaaaah, mkuu jipange.!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…