tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,308
Ha ha ha! si wewe huyo ndio umenifundisha, hivi nakuonesha mie mwanafunzi mzuri jamani
Mwanafunzi lazima upate zawadi ya kufuzu mafunzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha! si wewe huyo ndio umenifundisha, hivi nakuonesha mie mwanafunzi mzuri jamani
majukumu gani........btw ni mtangazaji mahiri
Ngoja nifuatilie jina lako halisi, isije ikawa umesoma nae Ivona, mwanamke kumsifia mwanamke mwenzie, very rare! Joke 2u
Mtoa uzi hapa umechemsha nikajua labda na yeye kapata shavu la kwenda kufanya kazi VOA, BBC, DW etc kama kina regina mwalekwa au mayb kawa nominated kwenye tuzo flani za undishi wa habari kumbe holaaaah, mkuu jipange.!!!
Ana pozi za kitoto halafu anajiona kama keshakuwa staa. Mbaya zaidi anapenda kujiweka humu kupitia ID hizo za kina amavubi kupima watu wanamchukuliaje. Ukweli ni kwamba kwa mbwembwe hizo huwezi fika popote.waliofika mbali hawakutumia njia za kitoto kama hizo. Usidanganywe na watu kama unataka kufika mbali kwenye hiyo taaluma piga mzigo usidanganywe wewe kwa sasa ni wa kawwaida sana japo unaweza fika mbali ukiacha mbwembwe na mashauzi ya kubinuabinua midomo as if unamtangazia mumeo tu hapo kwenye tv..
Ana Kipaji kama cha Salum Kikeke kidding ?
:A S wink:
Lakini huyu dada siku hizi anazidisha maringo kwenye utangazaji na sio uhalisia
nawapenda wale kina mama dada waliokuwa wanatangaza Radio TZ sauti nzuri na mwororo..
Ana pozi za kitoto halafu anajiona kama keshakuwa staa. Mbaya zaidi anapenda kujiweka humu kupitia ID hizo za kina amavubi kupima watu wanamchukuliaje. Ukweli ni kwamba kwa mbwembwe hizo huwezi fika popote.waliofika mbali hawakutumia njia za kitoto kama hizo. Usidanganywe na watu kama unataka kufika mbali kwenye hiyo taaluma piga mzigo usidanganywe wewe kwa sasa ni wa kawwaida sana japo unaweza fika mbali ukiacha mbwembwe na mashauzi ya kubinuabinua midomo as if unamtangazia mumeo tu hapo kwenye tv..
Tuache kila mtu aishi kadri anavyopenda. Ni Muumba pekee anayejua na kuamua tufanikiwe vipi. Si sawa kudhani au kuamini kwamba huyo dada atafanikiwa through njia unazoona zinafaa wewe. Wewe ni wewe na yeye ni yeye. Ustaarabu ni kumpongeza kwa mazuri anayoyafanya. Mabaya (unayoona ni mabaya si lazima na yeye ayaone hivo) mwachie yeye. Ndo changamoto za maisha.
Masanja
Nipo change ya kusoma comments yako star tv ipo DSTV.TV yangu inaonesha channel za super sports tu, hapa bongo sijui kitu
Nipo change ya kusoma comments yako star tv ipo DSTV.
Namjua kwa kiasi kidogo sana huyu binti lkn niwe muwazi kwamba ninaiona nyota ya Mtangazaji huyu wa Star TV iking'aa kwani anaonesha ana kipaji cha pekee, KILA HERI IVONA
Nakwambia hivi hutafika popope kwa majibu hayo ya kwenye red!
TV yangu inaonesha channel za super sports tu, hapa bongo sijui kitu
star tv ipo dstv au wewe supersport unazipata kutumia king'amuzi gani?