Kila la Heri Ivona Kamuntu

Ana Kipaji kama cha Salum Kikeke kidding ?
:A S wink:
Lakini huyu dada siku hizi anazidisha maringo kwenye utangazaji na sio uhalisia

nawapenda wale kina mama dada waliokuwa wanatangaza Radio TZ sauti nzuri na mwororo..
 
Mtoa uzi hapa umechemsha nikajua labda na yeye kapata shavu la kwenda kufanya kazi VOA, BBC, DW etc kama kina regina mwalekwa au mayb kawa nominated kwenye tuzo flani za undishi wa habari kumbe holaaaah, mkuu jipange.!!!

apate shavu litoke wap..ni yeye mwenyewe na wapuuz wenzie hushinda humu wakifungulia nyuzi kutafuta umaarufu wa bei rahisi
 
utamjenga sana kwa hili
 
Ana Kipaji kama cha Salum Kikeke kidding ?
:A S wink:
Lakini huyu dada siku hizi anazidisha maringo kwenye utangazaji na sio uhalisia

nawapenda wale kina mama dada waliokuwa wanatangaza Radio TZ sauti nzuri na mwororo..


kila zama na kitabu chake
 

Tuache kila mtu aishi kadri anavyopenda. Ni Muumba pekee anayejua na kuamua tufanikiwe vipi. Si sawa kudhani au kuamini kwamba huyo dada atafanikiwa through njia unazoona zinafaa wewe. Wewe ni wewe na yeye ni yeye. Ustaarabu ni kumpongeza kwa mazuri anayoyafanya. Mabaya (unayoona ni mabaya si lazima na yeye ayaone hivo) mwachie yeye. Ndo changamoto za maisha.

Masanja
 


Nakwambia hivi hutafika popope kwa majibu hayo ya kwenye red!
 
True shit ivona kazidisha ubinuaji midomo na kuremba sana as if analamba ule mdudu wa usiku
 
Ila jana nilikuwa naangalia Star tv habari Shapu mtoto mashallah hata anavyotangaza anatangaza akiwa anajiamini.
 
Namjua kwa kiasi kidogo sana huyu binti lkn niwe muwazi kwamba ninaiona nyota ya Mtangazaji huyu wa Star TV iking'aa kwani anaonesha ana kipaji cha pekee, KILA HERI IVONA

Mkuu we ndo Marketing Strategist wa huyu binti nini?Personally sijaona cha ajabu alichofanya ila jina lake linatajwa sana humu JF
 
Nakwambia hivi hutafika popope kwa majibu hayo ya kwenye red!

You are lying to your self. My dear friend. Labda sijui ulitaka nifike wapi?

Bro. dont generalize and dont be too judgmental. Usione kila mchina hapa mjini ukadhani anajenga barabara. Wengine wanauza mitumba kariakoo na kuchimba dhahabu Nyarugusu.
 
Ivona ni Jembe, ni kaliba ya kina Regina...mara nyingi anaongea alichokwishafanyia utafiti, tofauti na wengi....muda si mrefu tutamsikia kwenye vyombo vya mbele kama Regina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…