Kila la Heri Ivona Kamuntu

Mtoa uzi hapa umechemsha nikajua labda na yeye kapata shavu la kwenda kufanya kazi VOA, BBC, DW etc kama kina regina mwalekwa au mayb kawa nominated kwenye tuzo flani za undishi wa habari kumbe holaaaah, mkuu jipange.!!!

pema usijapo pema ukipema si pema tena
 
nmeekew nkwel kanazngua mara akunje uso mara ndta yan anaudhii mno
 
Mtamuonea sana huyu binti lakn ndivyo alivyo ni hulka yake she never change and she will never na kama kua hvo ndo hakutamfanikisha ni dhana na mitazamo ya watu ambao wanasahau kua umaarufu wa mtu unakuja ktk mwonekano wa aina mbili tofauti kwa mara nying,
Mtazamo wa ubaya na mtazamo wa uzuri.
Kama alivyo Ivona eitha ni mtizamo wa aina moja wapo, bas ndo umemfanya hadi leo kuwepo hapo alipo na la kufurahsha zaidi ni kua unachukua mda wako kumjadili japo unasema sio maarufu lakn kila mtu aliye toa coment humu sijaona hata mmoja aliyesema hamjui Ivona.
Mchukulie kua ni tabia yke na zoea alivyo then pata habar
 
Usitetee makosa kama unamfahamu jaribu kumwambia ajirekebishe, anafahamika kwa kuwa ni mtangazaji wa lininga si kwa kuwa ni maarufu, AACHE KUBINUA ULE MDOMO NA KUKUNJA NDITA PIA AACHE KUVUTA MANENO KAMA KASAHAU ANACHOTAKA KUSEMA. Pale yuko kazinieti,sio kujionesha, mwenzie Celin Mwakabwale yuko poa sana.
 
what's your point here? unasifia uelewa au
muonekano was huyu presenter?
 

Mkuu unajua unachozungumza lakn?
Hv umaaruf unatokana na nn au we unajua maana ya umaaruf ni nin labda
Bila kua mtangazaj ungemjua huyo? Kwa lugha nyepes mtu maarufu ni yule ambaye si mgen masikion na machon pa watu wengi zaidi kwa kle anachokifanya au kwa matokeo ya anacho kifanya, sa ww unaposma Ivona sio MAARUFU alafu ANAJULIKANA kwa utangazaj nakuwa na wasiwasi na ww mkuu.
ki2 kngne Ivona namfaham kama mtangazaj wa startv tofaut na hapo cmjui hanijui wala hajui kama kuna mtu kama mimi, lakn nilchosema ni kwamba hcho alichonacho ni tabia ambayo ni ya asil kama ingekua ni k2 cha kuibukia asingefanya kwa muda mref kias hcho, ni style yke na yeye
Sion sabab ya kumchukia wakat kinachokufanya uchek habar ni matkio
We angalia habar maswala ya ivona mwachie ivona,
Watu bwana eti anaringa, anarnga wapi wakat hamchok kumwangalia daily saa mbili majumban kwenuu.......
 

Kila anaefanya kazi kwenye media ni mtu maarufu? maana mie siju maana ya umaarufu naomba unisaidie kunielewesha nielewe, 2. hakuna anaemchukia kama unavyofikiria ila uwasilishaji wake habari unakera haumvitii mtazamaji kusikiliza habari. Jiulize kwa nini Salim Kikeke alipewa tuzo? na Milad Ayo pia kwa nini watu wanamkubali. Ndio maana hata sekta nyingine kuna watu wakikuta Fulani yupo wanakimbia hiyo huduma. Hujaona tellers wengine Bank watu wanawakimbia? Kwa staili yako ya kutafuta mtu maarufu, walimu wa msingi watakuwa maarufu zaidi kwa kuwa wanatazamwa na wanafunzi wao ambao niwengi mno.
 
Uhuuu... usiwe na mawazo mgando ww, nkikuambia baloz wako ni maaruf haimaanish n maarfu kwa wote lakn ni maarufu kwa mtaa wko.
Labda nikusaidie k2 hpo iko hv kuna umaaruf kulngana na ngaz uliopo mwingne n maarufu kwa kitaa chao lakn c maaruf kwa wilaya yao nk Mwalm unaemzngumzia ni maaruf kwa shule yke na smtyms hat wilaya au hata mkoa mzma
Nikupe mfno mwanza kulikua na mwalim mmoja wa masmo ya PCM na PCB kwa O level alikua maarufu sana kwa wanafunzi waliokua wanasma sayansi lakn c ajabu sehem nyngne hajulkana
Kamuntu ni maarufu kwa utangazaj wake halipngiki
Alafu mkuu c kila mtu maarufu anapendwa na na wote hata Mungu hapendwi na wote sembuse kiumbe Ivona?
Na umaaruf unaweza kua nao na ucpate tuzo bdo
Weng hupendwa lakn lazma awepo mshnd wa kuchukua
 
Samahni sikuwa naelewa maana ya mtu maarufu, hukuwa na haja ya kunikashifu ninamawazo mgando, ungenielimisha kistaarabu. Kumbe hata balozi wa nyumba kumi ni mtu maarufu mtaani kwake! lakini mimi wala simfahamu balozi wa mtaani kwangu, na umaarufu wake sijamsikia hata majiranizangu 4 hapa jirani nimewaomba waniambie balozi ni nani hawamjui. ASANTE KWA KUNIELIMISHA
 

Ou! Pia samahan kwa kukukera nafuta kauli mawazo mgando
Nafikir haina haja kubshana sana kila mmoja abak na uelewa alionao let t go
 

duh hata balozi wako humjui? Hujapatwa na shida weye alafu unaonekana si mtu wa kujichanganya misibani lazima ungemfahamu tu
 
Ki ukweli awe Amavubi au amatope lakini kwenye kazi yake yupo imara sana.
 
Last edited by a moderator:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…