Kila la heri kwa watoto wa Kitanzania wanaofungua shule leo

Kila la heri kwa watoto wa Kitanzania wanaofungua shule leo

Rachel P

Senior Member
Joined
Dec 26, 2024
Posts
151
Reaction score
617
Ni elimu ndiyo itaifungua nchi yetu kutoka kifungo cha ujinga na umaskini

Ni elimu ndiyo msingi wa maisha na maendeleo

Ni elimu ndilo chimbuko la viongozi weledi na wenye mafanikio nchini.

Mungu awe nanyi katika mwaka mzima huu wa masomo.

Nawapenda watoto wote wa kitanzania.

Kila la kheri.
 
Tuwaombee sana
1736663437258.jpg
 
Ni elimu ndiyo itaifungua nchi yetu kutoka kifungo cha ujinga na umaskini

Ni elimu ndiyo msingi wa maisha na maendeleo

Ni elimu ndilo chimbuko la viongozi weledi na wenye mafanikio nchini.

Mungu awe nanyi katika mwaka mzima huu wa masomo.

Nawapenda watoto wote wa kitanzania.

Kila la kheri.
Lakini....
 
Dah! Kweli tuna safari ndefu mno yenye kiza kikuu. Wakati watoto wenzao wanajifunza kwa vitendo shughuli wanazoweza kuja kufanya wakimaliza masomo i.e. wanakuza vipawa vyao vya kuwawezesha Ukubwani; sisi wakwetu wanajizoeza kwa bidii sana kukata mauno na kucheza ngoma na mwl. wao amechuchumalia hilo ili lifanikiwe. Lahaula!. Halafu hakuna mbongo anayemshtua mwenzake. Wao wanatutazama kwa mbali wanacheeeeeka. Wao upande wa kushoto wa vid.clip hapo juu Wanajiandaa kwani wanajua iko siku watarudi huku kututawala tena (ukoloni) ila safari hii sio kwa nguvu bali tutawaita ss wenyewe kwa hiari yetu na pengine kwa kuwabembeleza. Ni aibu sana.
 
Back
Top Bottom