Kila la heri Morocco team

Kila la heri Morocco team

Mbwa ushaanza kubweka au umeufyata?!

Sent using Jamii Forums mobile

20221210_213629.jpg
 
Dah Wewe jamaa kama sio mwarabu au mke wa mwarabu basi utakuwa una kipaji sana cha uchawa wa waarabu.
 
Dah Wewe jamaa kama sio mwarabu au mke wa mwarabu basi utakuwa una kipaji sana cha uchawa wa waarabu.

Hivi ina make sense uwatenge morocco kisa ni waarabu!! Mbona haimake sense mjomba!! Ingelikua ndio ghana and Portugal ungekuja na huu ubaguzi!!!

God bless Moroccans
 
Portugal kwisha habari yenu, msio wapenda morocco leo wamewaumbua, aibu yenu
 
Ma Morocco yatoke yanaudhi
Hatuyataki Hatuyataki
 
Ma Morocco yatoke yanaudhi
Hatuyataki Hatuyataki

Huyataki wewe na nani? Sishangai mtaishsbikia france na kuisusa morocco kisa waarabu

Kweli kabisa waafrika wengi wao wabaguzi, hata wahindi hawafui dafu
 
Huyataki wewe na nani? Sishangai mtaishsbikia france na kuisusa morocco kisa waarabu

Kweli kabisa waafrika wengi wao wabaguzi, hata wahindi hawafui dafu
Senegal yenyewe sikuishabikia sembuse Morocco
Anyway mara mia nishabikie wazungu kuliko waarabu
 
Back
Top Bottom