Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Tutawafunga Algeria na Kenya..itatosha kusonga mbele

Tukijithidi labda tupate sare dhidi ya Kenya! ila magoli yako pale pale! Sisi kinacho tuangusha ni kicha Amunike! Tangu akabidhiwe timu, hana kikosi cha kwanza! Atakavyo amka siku hiyo, ndivyo atakavyo ipanga timu! Tofauti kabisa na timu nyingine mafano Uganda!
 
Mabadiliko mengine Emmanuel Amunike anafanya kwaTaifa Stars Dakika ya 84 Frank DOMAYO in Mudathir out . Matokeo bado Senegal 2- 0 Taifa Stars
 
Kila nikitaka
Kuiombea
Taifa starz
Ipate matokeo kwa
Senegal,,
Kuna sauti ya
Roho mtakatifu
Inaniambia
"Usimjaribu bwana
Mungu wako"
[emoji13]
hii nimeichukua hii...asee kuna watu ni wehu
 
GANA Mungu anakuona tusamehe tena! [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti Fei Toto asimame kwenye kiungo na GANA anayesimama na kina Kante na Pogba akiwa Everton! [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gueye vs Fei Toto,vita Kali pale kati je nan ataibuka mbabe...kauli ya mchambuzi uchwara fulani hivi wakibongo[emoji23]
 


Hahahhaha...mungu atasaidia tuwaamini wachezaji wetu wao pia wanatamani wafike mbali
 
Mpira umekwisha

Dakika ya 90 + 3:

Senegal 2 - 0 Tanzania

Senegal wanaoesha mpira wa ki professional kabisa maana hawana dharau wala rafu za ovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…