Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
Wakimbizi wa Senegal tujuane mapema
nilichelewa ila nimekuja sasa hivi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakimbizi wa Senegal tujuane mapema
Ukichunguza karibu wote wamepitia aidha sports academy au vilabu vya ufaransa
Goal la pili ni la kumlaumu goal keeper gni duniani hapaMimi nakwambia ukweli. Magoli aliyofungwa Manula angeweza kuokoa. Nyie mteteeni lakini mjue ndo tunaliangamiza taifa.
Goli la kwanza mpira unapita vidoleni.
Goli la pili hata kuruka hajaruka anauangalia TU mpira.
Ndo maana nasema rudia kuangalia vizuri.
Mabeki washambuliaji na viungo vyote vilikuwa vibovu. Ila kipa nae alikuwa mbovu zaidi
Goal la pili ni la kumlaumu goal keeper gni duniani hapa