Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Achilia mbali point moja, sidhan kama tutatoka na goli huko.
 
Mimi nakwambia ukweli. Magoli aliyofungwa Manula angeweza kuokoa. Nyie mteteeni lakini mjue ndo tunaliangamiza taifa.
Goli la kwanza mpira unapita vidoleni.
Goli la pili hata kuruka hajaruka anauangalia TU mpira.
Ndo maana nasema rudia kuangalia vizuri.
Mabeki washambuliaji na viungo vyote vilikuwa vibovu. Ila kipa nae alikuwa mbovu zaidi
Goal la pili ni la kumlaumu goal keeper gni duniani hapa
 
Amkeniii amkeniii bwanaaa CCM stars wamefungwa tena bwanaa uuuuuu hahaha
 
Back
Top Bottom