Safi sana wanangu wa Senegal piga hilo litimu linalofanyiwa siasa na wajingawajinga wasio na vyeti.sisi 1-0 Bashite
safi sana!
hahaha Leo pesa nje kweli kweli nami naona!Weka hata 1000k kipigo nje nje
Yuko vizuri sana huyu.Manulaa..dah!!
tuna muingereza wetu toka black poolpale labda ataja kutuokoa hahaMengine yatafuata....yajayo yanakera
tuna muingereza wetu toka black poolpale labda ataja kutuokoa haha
Nimekaa na mtu hapa kila Senegal walishika mpira ananiambia bao hilo
CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEChannel : Bein Sports direct HD1
Dakika ya 36
SENEGAL 1 - 0 TANZANIE
Wakicheza nyumban lakni.,zile za nje kwa nje usiniite[emoji4]hahahaha
nimefurahi kukuona, sasa hivi ntaanza kukuita na wewe kwenye nyuzi zetu za sport hizi.
unaniruhusu nikuweke wewe?Hahaha ndoto hizo
Bado hujaua TZ huko meridian?ua halafu weka nyumba,kiwanja na mke kama unae