Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Conlusion; Falsafa za Amunike ni pasua kichwa! Leo tumekwisha. Huyu Himid Mao ni mtu wa nguvu nyingi kuliko akili! Ukija kwa fei toto, siku zote hana uchangamfu akiwa uwanjani! Badala ya kumpanga Erasto Nyoni pale nyuma! Beki zote fupi! unamuacha Abdi Banda kwa sababu zisizoeleweka!

Kwa namna ninavyo mfahamu Kallidou Koulibaly kwenye mipira ya kona; tutegemee goli lake moja. Uganda kwa nini mlitulegezea kwenye ile mechi ya mwisho! Angalieni golikipa wetu anavyoteseka! Sisi na mpira wapi na wapi! Sisi huku tunaweza siasa za ccm na chadema tu.
 
Mkuu mambo sio mambo tuombe turudishe au ikishindikana wasituongeze jingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…