Msisahau kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwa ajili ya maisha yenu ya leo kesho na kesho kutwa.
Ahsante mtoa mada mi nishafika salama namshukuru mungu.
ahsante mkuu japo tumefika wilayani lakini bado kitendawili hakijateguka ni yapi makazi ya kudumu ni mpaka hapooo j4 eee mungu tusaidie