Kila la heri Young Sports Club huko Sudan

Kila la heri Young Sports Club huko Sudan

Hatimae wamepanda tena ndege banaa...hamna alietapika kama kipnd kile?
 
.
IMG-20221015-WA0002.jpg
 
Subirini mlipe kwanza madhambi yenu ya mwaka jana kupokea wageni ndipo mbarikiwe. Mtakoma Cafcl mnapigwa na mkiangukia shirikisho napo mnaenda kumalizia malipo yenu

Mungu ibariki timu ya Wananchi
 
Back
Top Bottom