Hapana tunakwenda kumfunga El Hilal kwao kiroho safiHatimaye watuhumiwa wanajipeleka kitanzini[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Hata marehemu hutamaniwa afufuke japo inajulikana wazi haiwezekani
Kama watacheza bila kuifikiria Simba watatoboa.Jamaa ndiyo wamenyanyuka wakiwa na bashasha na kujiamini at par. Wachezaji na viongozi wako na morali ya juu sana wakiongozwa na Kocha Prof. Nabi.
View attachment 2387521View attachment 2387522
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Mungu ibariki timu ya Wananchi
Kama hawezi awahi Tanganyika Pekaz (Packers)
Nasikia andiko lake liko pale jangwani street maktabaHuyu anaeitwa prof nabi, ivi ameandika andiko lolote ya kutetea huo uprofessor ? Au ni jina tu la kumkuza mmempa ?