Kila la Kheri Galaxy kwenye mchezo wenu dhidi ya Wydad hapo kesho

Kila la Kheri Galaxy kwenye mchezo wenu dhidi ya Wydad hapo kesho

Smt016

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
3,012
Reaction score
4,300
Nawatakia ushindi kesho kwenye mchezo wenu mgumu dhidi ya Wydad mkiwa nyumbani.

Japo timu iliyokuwa ni mbovu kuliko timu zote zinazoshiriki klabu bingwa msimu huu ila nawaombea hivyo mshinde mechi yenu ya kesho ili mfikishe point 7 ili kujiwekea mazingira mazuri ya kufuzu na kubeba kombe la klabu bingwa msimu huu.
 
Majini fc a.k.a wachawi fc..huna akili mtegemea uchafu wewe kwenye mafanikio..Simba sc lazima tufike final club bingwa.
 
ALL THE BEST CHAMA LANGU BELOUIZDAD,Kanda hao vyura chuma 2 tu,kenge hao
 
Nawaona mashabiki wapya wa Jwaneng mlivyojipodoa kwa kujipaka hina vichwani.Mmependeza sana warembo!
 
Back
Top Bottom