Kila la kheri kocha MANQOBA MANQITH

Kila la kheri kocha MANQOBA MANQITH

Kwa jirani kuna msiba Wanazika?/ Wanasafirisha?
1792869030961.jpg
 
Uto wakimpa kocha Julio hili pande watachukua KOMBE LA CAFCL kama wamesimama.
Kwanza anajua kuusoma mchezo na kufanya subs zenye akili. Zaidi anajua wapi akachukue vigagula kwa ajili ya kamati ufundi.
Hersi mpe Julio kijiti hicho
 
Mmenikatili sana enyi Yanga... nilikuwa nimemlipa mtu wa kunifundisha jinsi ya kulitamka Lile jina...

Maana Wengine baada kushindwa kutamka wakamwita ' Mpiga miti' na Wengine eti ' Maboga mabichi'... mna dhambi sana waja..
 
Sidy boy hafai hata kwa dawa.
Bora arudi Miloud au Gamond.
Wakimchukua huyu watakuwa wamerudia makosa yale yale hawajatibu kitu. Makocha waaliopita Yanga na walikuwa vizuri Katia mbinu na ufundi ni watatu tu 1) Nabi, Gamond na Miloud wengine hao hamna kitu
 
Wakimchukua huyu watakuwa wamerudia makosa yale yale hawajatibu kitu. Makocha waaliopita Yanga na walikuwa vizuri Katia mbinu na ufundi ni watatu tu 1) Nabi, Gamond na Miloud wengine hao hamna kitu
Hata wasiporudi nmojawapo kati ya hawa tunatakiwa tutafute kocha mwingine mwenye same philosophy na hao.

Kinyume na hapo ni majanga tu.
 
Back
Top Bottom