Kila la kheri kwa yanga kesho

Kila la kheri kwa yanga kesho

Na mimi pia naiombea ushindi. Kamwe sipendi kuona Azam wanatuzoea. Walipata ule ushindi wa 2-1 kwenye mechi ya mwisho; inatosha.
 
Kweliiii Azam msituzoooeeee kbss hata kama huko Zbar kwenu haituhusuuu
 
Azam kesho watatueleza kwanini walituumizia wachezaji kimakusudi
 
Back
Top Bottom