Kila la kheri Mnyama Simba SC

Kila la kheri Mnyama Simba SC

daxy Jr

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
88
Reaction score
307
Me ni Yanga lialia ila kesho nataka mnyama apate matokeo mazuri dhidi ya Raja Casablanca! Timu zetu zimefika hatua nzuri sana kimataifa na ningependa kuona zinasonga mbele zaidi ili tuweke historia!

😂 Kuonesha nipo serious naweka mkeka Sokabet, asa ole wenu mnichanie mkeka wangu! Tarehe 14 mtajua hamjui😂
 
Makolo wapigwe kichapo kikali sana ili kelele zitulie alafu asubuhi tunaamka kimyaa kama hakuna kitu kilichotokea
 
Back
Top Bottom