Kila la kheri Mwaka wa Kwanza!

Poa.angalia usiwashawishi vijana waingie M4C....bse kule kwetu UDOM ukianza kudai vya msingi wanakuita we mpinzani yaani CDM member....
 
asante! kaka ila mwaka wa kwanza wanakuja speed leo nilikuwa crdb bank ya pale mabibo hostel acha wagombane kwa sababu ya foleni du wanamzuka ila watazoea tu
 
Mkuu pale Udsl umewapokeaje?mbona hutuambii huko au unasubiri kuwapigisha lecture next week.
 
Watu bwana kuwa kuishi dar ndio mnajiona mnaishi duniani na watu wanaotoka mikoani mnawaona kama washamba flani chuo chenyewe UDsm je mngesoma columbus university si tusingekunywa maji
Na mkianza kugoma msije kutusumbua hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…