MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
U.f.a....la huuKocha wa Nkana alipoulizwa anaiongeleaje timu ya Simba aka mikia alisema kwa mpira wa Tanzania anawafahamu sana sana mabingwa mara nyingi timu ya Young Africans na matajiri wa Chamazi timu ya Azam,lkn Simba hamna chochote anachokifahamu.
Kwa niaba ya mzee Akilimali na mashabiki wengine wa Jangwani, tunawatakia kila la keri na wapigeni tatu mtungi ili mechi ijayo mje na timu tu mashabiki mtawakuta huku huku.
tulia wewe ,3:0U.f.a....la huu
U...f.....a....laaaaaaatulia wewe ,3:0
Tulia mtotoMbona hata hauchekeshi
nitafurahi sana Mnyama akifungwa... nitakula ata kuku leoKocha wa Nkana alipoulizwa anaiongeleaje timu ya Simba aka mikia alisema kwa mpira wa Tanzania anawafahamu sana sana mabingwa mara nyingi timu ya Young Africans na matajiri wa Chamazi timu ya Azam,lkn Simba hamna chochote anachokifahamu.
Kwa niaba ya mzee Akilimali na mashabiki wengine wa Jangwani, tunawatakia kila la keri na wapigeni tatu mtungi ili mechi ijayo mje na timu tu mashabiki mtawakuta huku huku.
Kula hata nguruwe kabisa shwainnitafurahi sana Mnyama akifungwa... nitakula ata kuku leo
Tulia mtoto
Na wote tuseme Ameni!Kocha wa Nkana alipoulizwa anaiongeleaje timu ya Simba aka mikia alisema kwa mpira wa Tanzania anawafahamu sana sana mabingwa mara nyingi timu ya Young Africans na matajiri wa Chamazi timu ya Azam,lkn Simba hamna chochote anachokifahamu.
Kwa niaba ya mzee Akilimali na mashabiki wengine wa Jangwani, tunawatakia kila la keri na wapigeni tatu mtungi ili mechi ijayo mje na timu tu mashabiki mtawakuta huku huku.