Kila la kheri Nkana FC red devils

Kila la kheri Nkana FC red devils

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kocha wa Nkana alipoulizwa anaiongeleaje timu ya Simba aka mikia alisema kwa mpira wa Tanzania anawafahamu sana sana mabingwa mara nyingi timu ya Young Africans na matajiri wa Chamazi timu ya Azam,lkn Simba hamna chochote anachokifahamu.
Kwa niaba ya mzee Akilimali na mashabiki wengine wa Jangwani, tunawatakia kila la keri na wapigeni tatu mtungi ili mechi ijayo mje na timu tu mashabiki mtawakuta huku huku.
 
U.f.a....la huu
 
nitafurahi sana Mnyama akifungwa... nitakula ata kuku leo
 
Kocha wa Nkana alipoulizwa anaiongeleaje timu ya Simba aka mikia alisema kwa mpira wa Tanzania anawafahamu sana sana mabingwa mara nyingi timu ya Young Africans na matajiri wa Chamazi timu ya Azam,lkn Simba hamna chochote anachokifahamu.
Kwa niaba ya mzee Akilimali na mashabiki wengine wa Jangwani, tunawatakia kila la keri na wapigeni tatu mtungi ili mechi ijayo mje na timu tu mashabiki mtawakuta huku huku.
Na wote tuseme Ameni!
 
Kama hakifaham chochote kuhusiana Na Simba basi Leo atakifaham hivyo asiwe Na wasi
 
Nye vyura fc simba tukishinda hatutaki visingizio baadaye mara hivi mara vile
 
Back
Top Bottom