Kila la kheri Nkana FC red devils

Kila la kheri Nkana FC red devils

Msije mkautelekeza Uzi kama kipind kile
 
Kocha wa Nkana alipoulizwa anaiongeleaje timu ya Simba aka mikia alisema kwa mpira wa Tanzania anawafahamu sana sana mabingwa mara nyingi timu ya Young Africans na matajiri wa Chamazi timu ya Azam,lkn Simba hamna chochote anachokifahamu.
Kwa niaba ya mzee Akilimali na mashabiki wengine wa Jangwani, tunawatakia kila la keri na wapigeni tatu mtungi ili mechi ijayo mje na timu tu mashabiki mtawakuta huku huku.
Kila la heri Hassan Kessy
 
Uwanjani Nkana wamekaza vyama kibao hadi mikia fc washanja kimoja. Mungu ibariki Nkana
 
Kwa matokeo haya mechi ijayo pigeñi hao 0 :2
 
Nkana leo hamjatuangusha na tunaamini mechi ya amtotuanguasha pia,tunawashauri huku dar msipate tabu ya kuja na mashabiki wenu,mashabiki mtatukuta huku huku
 
Nkana leo hamjatuangusha na tunaamini mechi ya amtotuanguasha pia,tunawashauri huku dar msipate tabu ya kuja na mashabiki wenu,mashabiki mtatukuta huku huku
Hakikisheni mnavaa red and white ndio rangi zao hao
 
Back
Top Bottom