Kila la kheri Simba S.C. kaeni mkijua taifa linawategemea

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Kila Mtanzani anatamani kuiona Simba S.C. ikiendelea kufanya vizuri kimataifa, kufanya vizuri kwa Simba kimataifa kumeinufaisha pakubwa sana taifa hili.

Simba imekuwa mfano mzuri wa kuigwa hapa nchini na vilabu vyote vimekuwa na shauku ya kufanya vizuri kimataifa ikiwemo klabu kongwe nchi Yanga SC.

Kesho napema klabu ya Simba itaianza safari yake kuelekea Angola kwa ndege binafsi.

Watanzania wote tuungane kuiombea mema klabu ya Simba kuelekea mchezo wake wa Jumapili huko Angola.

Kila la kheri Simba..
 
Kama nchi tulikua tunajua mambo ya hovyo yaliyokua yakifanywa na Simba dhidi ya timu za kigeni walizo cheza nazo Kwa Mkapa, mambo ya kupulizia madawa kwenye vyumba vya timu pinzani, kufukia makafara uwanjani n.k
Lakini kitendo Cha kwenda kuwasha moto wa kishirikina ugenini kama Nchi tumefedheheshwa kwelikweli. Niaibu ya Karne timu kupigwa fine Kwa kuhusishwa na ushirikina.
 
Hivo vitendo ndio vimepelekea leo hii kila club hapa tz ikowemo yanga kubana pua na kusema TUNATAKA NAFASI NNE ZA JUU ILI TUSHIRIKI KIMATAIFA. Shwain kabisa mwanaume anavuja jasho kuibeba nchi wewe unaleta utopolo wako hapa.
 
Ata kama Ipo nafasi mmoja Ili kushiriki michuano ya Caf basi iyo nafasi ni ya Yanga iko hivyo tangu ligi kuu Ina anzishwa , mambo ya nafasi ya pili na kuendelea izo hazihusiani na Yanga.
 
Kila la heri timu ya wenye akili timamu.
 
Hakuna aibu tumepata Taifa letu kama timu kuanza kufundisha ukabwili wachezaj wake

Ni fedheha kubwa sana lakini bado ipo hyo timu na wala haijishitukii.
 
Hivo vitendo ndio vimepelekea leo hii kila club hapa tz ikowemo yanga kubana pua na kusema TUNATAKA NAFASI NNE ZA JUU ILI TUSHIRIKI KIMATAIFA. Shwain kabisa mwanaume anavuja jasho kuibeba nchi wewe unaleta utopolo wako hapa.
Asante kwa jibu murua kabsa hili.
 
Ata kama Ipo nafasi mmoja Ili kushiriki michuano ya Caf basi iyo nafasi ni ya Yanga iko hivyo tangu ligi kuu Ina anzishwa , mambo ya nafasi ya pili na kuendelea izo hazihusiani na Yanga.
Umeandika utopolo unaofanana nao

Hongera sana mwenye mwiko wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…