Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kila Mtanzani anatamani kuiona Simba S.C. ikiendelea kufanya vizuri kimataifa, kufanya vizuri kwa Simba kimataifa kumeinufaisha pakubwa sana taifa hili.
Simba imekuwa mfano mzuri wa kuigwa hapa nchini na vilabu vyote vimekuwa na shauku ya kufanya vizuri kimataifa ikiwemo klabu kongwe nchi Yanga SC.
Kesho napema klabu ya Simba itaianza safari yake kuelekea Angola kwa ndege binafsi.
Watanzania wote tuungane kuiombea mema klabu ya Simba kuelekea mchezo wake wa Jumapili huko Angola.