Kila la kheri Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes)

Kila la kheri Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes)

Kitimoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
6,941
Reaction score
7,808
Nawatakia ushindi timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) watakapocheza na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars).

Sikutegemea kitendo kilichofanywa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kumwita kwenye timu ya Taifa mchezaji ambaye ameshindwa kutimiza matakwa ya mkataba kwenye Klabu yake.

Kwa kuitwa kwenye timu ya Taifa inamaanisha kitendo kilichofanywa na mchezaji husika kimebarikiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Kila la kheri The Cranes.
 
Back
Top Bottom