Kila la Kheri Wanajangwani Dhidi ya TFF Pale Lupaso

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Najua mnajua nini cha kufanya. Rekodi zetu ni bora sana dhidi ya TFF katika mechi takribani 6 zilizo pita.

Natambua kuwa tangu atie mguu kwenye ardhi ya kibongo Prof NABI hajawahi kupoteza mchezo wopwote dhidi ya TFF.

Kwa ujumla ile mechi dhidi ya Vipers inanipa kiburi cha kusema hakuna wa kutusimamisha msimu huu. Kwa namna mpira mzuri uliochezwa siku hiyo.

Najua pia mpaaka wakati huu timu ya Msomali haina muunganiko, katika kitchen party chao cha juzi walikuwa wanacheza vululu vululu pasi na kuwa na organisation.

Ninaamini tutawafanya vibaya sana TFF siku ya leo.

Niko nyuma yenu.

(Tupunguze Matusi)
 
Kila la kheri Simba dhidi ya CCM pale Mkapa stadium
 
Ccm ni club ya manjano na kijani leo lazima nyuki wawakere
 
Kumekuchaaaaaa!!! Hakika leo Nyasi za Lupaso zitasimuliaa.
 
IMEISHA HIYOO, CASE CLOSED BY MAYELEEEEEEEEEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…