kila la kheri yanga

kila la kheri yanga

Kesho tungeweza kuwapa free ride mtibwa ila wapambane maana katika mechi 3 za mwisho ukitoa mtibwa hatuwezi kukosa 3 points ila nao ni wajinga tu watazingua huko mbele acha tuwagonge tu
 
Nakumbuka kauli ya Aziz Ki kwamba kwanza kuisaidia Yanga kuwa bingwa alafu itafuata kuwa mfungaji bora.

Naamini kwa mechi zilizobakia anao uwezo wa kufunga zaidi ya magoli 5
 
leo hata moja bila sawa
 
Kesho tungeweza kuwapa free ride mtibwa ila wapambane maana katika mechi 3 za mwisho ukitoa mtibwa hatuwezi kukosa 3 points ila nao ni wajinga tu watazingua huko mbele acha tuwagonge tu
Yanga inahitaji point mbili tu sio tatu.
 
Back
Top Bottom