fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Naiombea kwa Mola timu yangu yanga kesho tushinde,kila mwananchi ungana nami kusali kwa dini kesho tupate ushindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
all the best[emoji172][emoji169]
Mola wetu tunakuomba utupe ushindi leoBest wishes to us..![emoji1732][emoji172][emoji169][emoji18]
leo hata moja bila sawaNakumbuka kauli ya Aziz Ki kwamba kwanza kuisaidia Yanga kuwa bingwa alafu itafuata kuwa mfungaji bora.
Naamini kwa mechi zilizobakia anao uwezo wa kufunga zaidi ya magoli 5
Yanga inahitaji point mbili tu sio tatu.Kesho tungeweza kuwapa free ride mtibwa ila wapambane maana katika mechi 3 za mwisho ukitoa mtibwa hatuwezi kukosa 3 points ila nao ni wajinga tu watazingua huko mbele acha tuwagonge tu
Ngapi ngaapiMr mutuu Vincenzo Jr sumbai Cookie Nifanyieni mpango NBC, mimi ndo nipeleke kombe pale mbele ya jukwaa kwa Yanga
Ikiwezekana nimshike mkono Guede!🤸
Yaanga 3 Mtibwa 1Ngapi ngaapi
😁😂Mr mutuu Vincenzo Jr sumbai Cookie Nifanyieni mpango NBC, mimi ndo nipeleke kombe pale mbele ya jukwaa kwa Yanga
Ikiwezekana nimshike mkono Guede!🤸
Usinikumbushe machungu! Wewe ulisema tukishinda utanipa zawadi ukaja kunigeukaHongereni
Nipe zawadi yangu
Mrs gedeNamna hiyo!🤸
Naomba zawadi, Acha janja janjaUsinikumbushe machungu! Wewe ulisema tukishinda utanipa zawadi ukaja kunigeuka