fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
all the best[emoji172][emoji169]
Mola wetu tunakuomba utupe ushindi leoBest wishes to us..![emoji1732][emoji172][emoji169][emoji18]
leo hata moja bila sawaNakumbuka kauli ya Aziz Ki kwamba kwanza kuisaidia Yanga kuwa bingwa alafu itafuata kuwa mfungaji bora.
Naamini kwa mechi zilizobakia anao uwezo wa kufunga zaidi ya magoli 5
Yanga inahitaji point mbili tu sio tatu.Kesho tungeweza kuwapa free ride mtibwa ila wapambane maana katika mechi 3 za mwisho ukitoa mtibwa hatuwezi kukosa 3 points ila nao ni wajinga tu watazingua huko mbele acha tuwagonge tu
Ngapi ngaapiMr mutuu Vincenzo Jr sumbai Cookie Nifanyieni mpango NBC, mimi ndo nipeleke kombe pale mbele ya jukwaa kwa Yanga
Ikiwezekana nimshike mkono Guede!π€Έ
Yaanga 3 Mtibwa 1Ngapi ngaapi
ππMr mutuu Vincenzo Jr sumbai Cookie Nifanyieni mpango NBC, mimi ndo nipeleke kombe pale mbele ya jukwaa kwa Yanga
Ikiwezekana nimshike mkono Guede!π€Έ
Usinikumbushe machungu! Wewe ulisema tukishinda utanipa zawadi ukaja kunigeukaHongereni
Nipe zawadi yangu
Mrs gedeNamna hiyo!π€Έ
Naomba zawadi, Acha janja janjaUsinikumbushe machungu! Wewe ulisema tukishinda utanipa zawadi ukaja kunigeuka