Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
Mbona mafisadi ndio wanaopinga muungano kwa zanzibar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lula kanena ukweli,nenden mmezid kulia2 kwenye korido.tuone nani alikuwa kupe.mmefaidi mno mali za tanganyika,mmedekezwa mno.watu 1mil mnasumbua watu mil 45?mmejaza wenyeviti wa mtaa(wabunge) kwenye bunge la j.muungano(et anachaguliwa na watu 3000),jipatien uhuru wenu murud kwenu ,mmejazana bara kwa uhuru,rudini mkaijenge nchi yenuMwandishi huyu ndio wale wanaitwa MAKANJANJA au rafiki yangu Dr Mwakyembe aliwahi kuwaita Bungeni kuwa ni UPE (uandishi pasipo Elimu).
Kwa wasijua maadili ya UANDISHI wengi wanaongozwa na USHABIKI ima wa kisiasa, kikabila au kiimani lakin pia anasukumwa na UBAGUZI na vitisho na dharau kwa jamii inayomsoma. jamii inawapasa kuwaogopa watu waandishi kama hawa kama wanavyo ogopa malaria.
Lula nasikitika sana kukwambia na kukukumbusha kuwa mTU MZIMA ATISHIWI NYAU. Nimekusoma vilivo na hoja zako dhaifu katika Gazeti la Raia Mwema.
Nakupa pole sana mwandishi lakin kumbuka DUA LA KUKU ...
Lula kawa Kanjanja? Makubwa. Ni kiboko. Tena ilitoka kabla ya rasimu ya katiba mpay. Hongera sana kanjana Lula. Mwache Barubaru aliye bora akukashifu lakini ajue kuwa wakibaki wao watauana kama kuku.