Umevurugwa wewe sio burePumbafu
1. July 2020 tumewapiga 4-1 shirikisho la Azam (hawasemi)
2. 2021 tumewapiga shirikisho la azam kule kigoma (hamsemi)
Utopolo hamna akili.
Hivi match za league na shirikisho zinachezwa tofauti?
Tulipeni Ile 4-1 ya 2020.
Tulia dawa ikuingie.Pumbafu
1. July 2020 tumewapiga 4-1 shirikisho la Azam (hawasemi)
2. 2021 tumewapiga shirikisho la azam kule kigoma (hamsemi)
Utopolo hamna akili.
Hivi match za league na shirikisho zinachezwa tofauti?
Tulipeni Ile 4-1 ya 2020.
wewe ndie huna akili ya kung'amua vitu vidogo.Pumbafu
1. July 2020 tumewapiga 4-1 shirikisho la Azam (hawasemi)...
Mechi ya shirikisho Simba iliposhinda goli nne na la kule kigoma goli moja mganga alikuwa wapi? Au mliwazidi Yanga ulozi? Yanga wangekuwa wazuri kwa kuroga si wangekuwa wanatamba kwa Mkapa kwenye michuano ya kimataifaYanga wanachowazidi simba ni uchawi tu mimi toka ile siku yanga akiwa na team mbovu chini ya zahera tuliwakosa goal 27 za wazi achana na zile nyingine zilizogonga post na kosa kosa,
ndo nikaamini simba kuifunga yanga ni ngumu sana maana mganga wao yupo vizuri na tukamchukua beno kakolanya kwa kiwango bora kabisa alichokionyesha.
Yanga ndio mabingwa wa kuroga wana mganga wao yupo morogoro.
Na uhakika elimu yako kubwa ni kujua kusoma na kuandika tuPumbafu
1. July 2020 tumewapiga 4-1 shirikisho la Azam (hawasemi)
2. 2021 tumewapiga shirikisho la azam kule kigoma (hamsemi)
Utopolo hamna akili.
Hivi match za league na shirikisho zinachezwa tofauti?
Tulipeni Ile 4-1 ya 2020.
IkYanga wanachowazidi simba ni uchawi tu mimi toka ile siku yanga akiwa na team mbovu chini ya zahera tuliwakosa goal 27 za wazi achana na zile nyingine zilizogonga post na kosa kosa,
ndo nikaamini simba kuifunga yanga ni ngumu sana maana mganga wao yupo vizuri na tukamchukua beno kakolanya kwa kiwango bora kabisa alichokionyesha.
Yanga ndio mabingwa wa kuroga wana mganga wao yupo morogoro.
Kesho ni kutetema tu. Kama hamtaki, ni bora mkagomea kuingiza timu. Hizo stori zako za Kigoma hazina nafasi kwa sasa.Pumbafu
1. July 2020 tumewapiga 4-1 shirikisho la Azam (hawasemi)
2. 2021 tumewapiga shirikisho la azam kule kigoma (hamsemi)
Utopolo hamna akili.
Hivi match za league na shirikisho zinachezwa tofauti?
Tulipeni Ile 4-1 ya 2020.
Jamaa alipatia sana kuwaita MbumbumbuMfano halisi wa mtu mwenye matatizo ya afya ya akili ni huu
ana ulemavu wa akili.Mfano halisi wa mtu mwenye matatizo ya afya ya akili ni huu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] .Au ulitaka kusema Luc Eymael ila ukasahasu?Jamaa alipatia sana kuwaita Mbumbumbu
Hata wanaume wa Simba wanamshobokea Mayele hadi wachungaji na mapadre,wanafunzi wanakwaya wanamuziki wote wanamshobokea mayele.na kesho ataendeleza desturi yake ya kushobokewaHivi ka fei toto kapo?.maana wanaume wote wa yanga yani mashabiki wanamshobokea mayele wamemsahau kabisa yani kapotea mazimaa
Hao uliowataja watakua wanaume wa Yanga na wanakwaya wa yangaHata wanaume wa Simba wanamshobokea Mayele hadi wachungaji na mapadre,wanafunzi wanakwaya wanamuziki wote wanamshobokea mayele.na kesho ataendeleza desturi yake ya kushobokewa