Kila likiongelewa kufungwa utasikia kwenye league hatujafungwa

nditolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
3,731
Reaction score
4,271
Pumbafu

1. July 2020 tumewapiga 4-1 shirikisho la Azam (hawasemi)

2. 2021 tumewapiga shirikisho la azam kule kigoma (hamsemi)

Utopolo hamna akili.

Hivi match za league na shirikisho zinachezwa tofauti?

Tulipeni Ile 4-1 ya 2020.
 
Umevurugwa wewe sio bure
 
Pumbafu

1. July 2020 tumewapiga 4-1 shirikisho la Azam (hawasemi)

2. 2021 tumewapiga shirikisho la azam kule kigoma (hamsemi)

Utopolo hamna akili.

Hivi match za league na shirikisho zinachezwa tofauti?

Tulipeni Ile 4-1 ya 2020.
Tulia dawa ikuingie.
 
Attachments

  • 1648038552656.mp4
    1 MB
Pumbafu

1. July 2020 tumewapiga 4-1 shirikisho la Azam (hawasemi)...
wewe ndie huna akili ya kung'amua vitu vidogo.

Yanga wanasema mpaka sasa hawajafungwa kwenye ligi uongo uko wapi?
 
Yanga wanachowazidi simba ni uchawi tu mimi toka ile siku yanga akiwa na team mbovu chini ya zahera tuliwakosa goal 27 za wazi achana na zile nyingine zilizogonga post na kosa kosa,

ndo nikaamini simba kuifunga yanga ni ngumu sana maana mganga wao yupo vizuri na tukamchukua beno kakolanya kwa kiwango bora kabisa alichokionyesha.

Yanga ndio mabingwa wa kuroga wana mganga wao yupo morogoro.
 
Mechi ya shirikisho Simba iliposhinda goli nne na la kule kigoma goli moja mganga alikuwa wapi? Au mliwazidi Yanga ulozi? Yanga wangekuwa wazuri kwa kuroga si wangekuwa wanatamba kwa Mkapa kwenye michuano ya kimataifa
 
Pumbafu

1. July 2020 tumewapiga 4-1 shirikisho la Azam (hawasemi)

2. 2021 tumewapiga shirikisho la azam kule kigoma (hamsemi)

Utopolo hamna akili.

Hivi match za league na shirikisho zinachezwa tofauti?

Tulipeni Ile 4-1 ya 2020.
Na uhakika elimu yako kubwa ni kujua kusoma na kuandika tu
 
Yanga wanachowazidi simba ni uchawi tu mimi toka ile siku yanga akiwa na team mbovu chini ya zahera tuliwakosa goal 27 za wazi achana na zile nyingine zilizogonga post na kosa kosa,

ndo nikaamini simba kuifunga yanga ni ngumu sana maana mganga wao yupo vizuri na tukamchukua beno kakolanya kwa kiwango bora kabisa alichokionyesha.

Yanga ndio mabingwa wa kuroga wana mganga wao yupo morogoro.
Ik
Screenshot_20220429-084210_WhatsAppBusiness.jpg
 
Hivi ka fei toto kapo?.maana wanaume wote wa yanga yani mashabiki wanamshobokea mayele wamemsahau kabisa yani kapotea mazimaa
 
Pumbafu

1. July 2020 tumewapiga 4-1 shirikisho la Azam (hawasemi)

2. 2021 tumewapiga shirikisho la azam kule kigoma (hamsemi)

Utopolo hamna akili.

Hivi match za league na shirikisho zinachezwa tofauti?

Tulipeni Ile 4-1 ya 2020.
Kesho ni kutetema tu. Kama hamtaki, ni bora mkagomea kuingiza timu. Hizo stori zako za Kigoma hazina nafasi kwa sasa.
 
Hivi ka fei toto kapo?.maana wanaume wote wa yanga yani mashabiki wanamshobokea mayele wamemsahau kabisa yani kapotea mazimaa
Hata wanaume wa Simba wanamshobokea Mayele hadi wachungaji na mapadre,wanafunzi wanakwaya wanamuziki wote wanamshobokea mayele.na kesho ataendeleza desturi yake ya kushobokewa
 
Kesho uwanja utakuwa mweupe. Mnategea press Kila siku badala ya kusuka mipango Ili team yenu iingize pess
 
Hata wanaume wa Simba wanamshobokea Mayele hadi wachungaji na mapadre,wanafunzi wanakwaya wanamuziki wote wanamshobokea mayele.na kesho ataendeleza desturi yake ya kushobokewa
Hao uliowataja watakua wanaume wa Yanga na wanakwaya wa yanga
 
Back
Top Bottom