Kila linapo fika hili tangazo la mdada wa Tigo mke wangu anabadilisha Chanel

wengine hatulijui hili tangazo. Mtoa mada hebu tufafanulie kidogo
 
Mdada huwa ananipoteza kabisa hisia zangu na sura yake ya kisukuma yule, hisia huwa zinaama kabisa nakujikuta nimesinzia nikitafakari ingekuwaje na mimi hiyo bahati ingenikuta...
ananifanya nijione bado kijana kabisa..daah ingekuwa kweli jamaa angakuwa anafaidi sana
 
mimi nyumbani likifika tu hadi watoto wanafurahia....kajitaidi kudeka wake zetu wafanye ivi basi dume livimbe kichwa.
 
wazee wote hapa ndio mmeshindwa kulipandusha hilo tangazo hapa?

Youtube lipo? nilifuate mwenyewe?
Acheni ubinafsi.
 
Kila nikilitizama lile tangazo natamani

Nivute jiko niweke ndani likipita nasahau kabisa swala la kuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…