Kila linapo fika hili tangazo la mdada wa Tigo mke wangu anabadilisha Chanel

Kila linapo fika hili tangazo la mdada wa Tigo mke wangu anabadilisha Chanel

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Posts
2,595
Reaction score
6,264
Nilikuwa najua ni mke wangu tu ila leo katika kupiga piga stori na wadau mbalimbali nao wanasema hivyo hivyo.

Wengine wanasema wake zao hununa na wengine wanasema wanamchukia yule Dada.

Swali kwenu wanawake. Kwani lile tangazo lina shida gani mpaka muwe hivyo?
View attachment 1477445
20200613175636.jpg
 
wengine hatulijui hili tangazo. Mtoa mada hebu tufafanulie kidogo
 
Mdada huwa ananipoteza kabisa hisia zangu na sura yake ya kisukuma yule, hisia huwa zinaama kabisa nakujikuta nimesinzia nikitafakari ingekuwaje na mimi hiyo bahati ingenikuta...
ananifanya nijione bado kijana kabisa..daah ingekuwa kweli jamaa angakuwa anafaidi sana
 
mimi nyumbani likifika tu hadi watoto wanafurahia....kajitaidi kudeka wake zetu wafanye ivi basi dume livimbe kichwa.
 
wazee wote hapa ndio mmeshindwa kulipandusha hilo tangazo hapa?

Youtube lipo? nilifuate mwenyewe?
Acheni ubinafsi.
 
Kila nikilitizama lile tangazo natamani

Nivute jiko niweke ndani likipita nasahau kabisa swala la kuoa
 
Back
Top Bottom