Kuna watu wameumbwa bila chembe ya wivu. Huyu na mkewe ni aina hiyo ya watu. Yaani mke akirudi kwenye viwanja alivyotembelea anamweleza mumewe jinsi alivyokamuliwa na mlevi. Jamani mume si utazimia hapohapo? Na mke naye anasikiliza stori za mumewe alivyomviringisha baa meidi. Hii ni roho ngumu au roho mfu?